Rais Jakaya Kikwete, akiwakabidhi Bw. Clement A. Chagula na bintiye Olivia A. Chagula, medali kwa niaba ya baba na babu yao Marehemu Dkt. Wilbert Chagula, ambaye aikuwa ni mmoja wa mawaziri katika serikali ya awamu ya kwanza na mmoja wa watu maarufu waliotunukiwa nishani katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru. Bw Chagula, ambaye ni mtoto wa marehemu, hakuweza kufika Dar es salaam kupokea medali hiyo na Rais alipokuwa Kampala akatumia nafasi hiyo kumpatia leo asubuhi katika hoteli ya Speke Commonwealth Resort.
WAZIRI SANGU: MADEREVA 800 WAAJILIWA QATAR
-
Na. OWM-KAM, Dar es Salaam
Serikali ya Awamu ya Sita imesema inajivunia ushirikiano wa kidugu ulipo
kati yake na Taifa la Qatar ambao umesaidia kukuza dip...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment