Vijana wanaofanya kazi ya utingo katika daladala za Manispaa ya Iringa wakizichapa kavu kavu leo eneo la Posta mjini Iringa baada ya kutukanana matusi ya nguoni wakati wakigombea abiria kupakia katika daladala zao huku kila mmoja akiwavutia abiria kupanda kwake. Picha na Francis Godwin, Iringa
No comments:
Post a Comment