Menu

Saturday, December 10, 2011

*MATUKIO YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU KATIKA PICHA, MAKOMANDOO WALIVYOWACHENGUA WANANCHI

 Askari wakipita mbele ya jukwaa Kuu na kutoa heshima kwa Rais.
 Askari wakipita na kutoa heshima Jukwaa kuu.

Mbwa akimpiga mtama mwalifu wakati wa lieso ya mbwa waliofundishwa kudhbiti waarifu, wakati wa sherehe hizo.
Rais Jakaya Kikwete, akiingia uwanjani kwa kutuia gari la wazi.
Rais Jakaya Kikwete, akisimama kwa heshima wakati ikipigwa mizinga.

No comments:

Post a Comment