TIMU ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' imewaadhibu majirani zao Rwanda kwa mikwaju ya penati katika mchezo wa fainali ya Kombe la Chalenji uliochezwa leo jioni katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa michuano hiyo ya CECAFA Chalenji 2011 baada ya kuizamisha kwa penalti 3-2 timu ya Taifa ya Rwanda 'Amavubi'.

No comments:
Post a Comment