*RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KENYA KALONZO MUSYOKA LEO IKULU
Rais Jakaya Kikwete akipokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Mwai Kibaki wa Kenya uliowasilishwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Kalonzo Musyoka alipomtembelea Ofisini kwake ikulu Dar es Salaam leo. Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment