Si tu ukisikia American Chips ndo ukajisikia ukila chips za ukweli hata majina mengi ya namna hii unawezajiula je ni Chips za namna gani zinapatikana mahala, je ni maalum kwa wawili wapendanao pekee ndiyo wanahudumiwa mahala hapa? laki si hivyo bali hili ni jina tu kama yalivyo mengine na wanaohudumiwa mahala hapa ni watu wa wote hata wale wenzangu na mie wasio na wenza. Jioni mahala hapa utakuta 'Nyomi' katika Banda hili lililopo Manyara.
NIRC, JKT ZAUNGANA KUONGEZA UZALISHAJI KUPITIA UMWAGILIAJI
-
📍 Mlimba, Kilombero – Morogoro
Shamba la Chita JKT, lenye ukubwa wa ekari 12,000 zinazolimwa, limepangwa
kuwa mfano wa ushirikiano kati ya Jeshi la Kuje...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment