Mchezaji wa Pool wa Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni, Ally Akida akicheza na mpinzani wake Ally Akbar wa Temeke wakati wa Bonanza la Mikoa mitatu ya Dar es Salam lililofanyika na kuandaliwa na Mkoa wa Kinondoni Meeda Sinza jana. Katika mchezo huo Ally Akida alishinda.
WANACHAMA 50 ACT Wazalendo LINDI WATIMUKIA CCM.
-
Zaidi ya wanachama 50 kutoka katika chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na
chama Cha mapinduzi ( CCM)
Wanachama hao wakiongozwa na aliyewahi kuwa diwani ...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment