Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na baadhi ya wakazi wa kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani alipojumuika na wanakijiji hao wenzake wakati wa kuuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa mkesha uliopambwa na ngoma za utamaduni na fashifashi katika Kijiji cha Msoga Pwani usiku wa jana. Picha na Ikulu
Rais Jakaya Kikwete akijumuika na baadhi ya wakazi wa kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani jana kushuhudia Fashifashi za kuukaribisha mwaka mpya wa 2012 na kuuaga mwaka 2011.
No comments:
Post a Comment