Si tu ukisikia American Chips ndo ukajisikia ukila chips za ukweli hata majina mengi ya namna hii unawezajiula je ni Chips za namna gani zinapatikana mahala, je ni maalum kwa wawili wapendanao pekee ndiyo wanahudumiwa mahala hapa? laki si hivyo bali hili ni jina tu kama yalivyo mengine na wanaohudumiwa mahala hapa ni watu wa wote hata wale wenzangu na mie wasio na wenza. Jioni mahala hapa utakuta 'Nyomi' katika Banda hili lililopo Manyara.
BAFANA BAFANA YAANZA VYEMA AFCON, YAICHAPA ANGOLA 2-1
-
TIMU ya Afrika Kusini imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya jirani zao,
Angola katika mchezo wa Kundi B Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika
(AFCON)...
8 hours ago

No comments:
Post a Comment