Mtandao wa www.sufianimafoto.blogspot.com, unawatakia heri ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya, wadau wote na mungu awalinde katika siku muhimu kama hii ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, na adumishe Amani na Upendo baina yetu na Nchi nzima, Amein.
TANZANIA NA MAREKANI ZAJA NA MAPINDUZI MAKUBWA KWENYE SEKTA YA AFYA
-
Serikali ya Tanzania imekubaliana na Chama cha Wafanyabiashara cha Marekani
(U.S. Chamber of Commerce) mjini Washington, D.C., kutekeleza kwa mkakati
...
19 hours ago

No comments:
Post a Comment