Menu

Thursday, December 1, 2011

*OMARY MJENGA NA SHEREHE YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI NCHINI SIERA LEONE.

Mwakilishi Mkazi wa UNOPS nchini Sierra Leone, Omary Mjenga, akiwa na Mwakilishi Mkazi wa UNAIDS Bi. Mulunesh, Raia wa Ethiopia, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, ambazo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Sierra Leone, Ernest Koroma. Bi Mulunesh aliwahi kuwa Mwakilishi Mkazi wa UNAIDS nchini Tanzania mwaka 1996 hadi 2000.

No comments:

Post a Comment