Menu

Thursday, December 1, 2011

*RAIS JAKAYA KIKWETE APONGEZWA NA GEORGE BUSH

Rais Jakaya Kikwete, akipongezwa na Rais Mstaafu wa Marekani, George W. Bush, leo kwa sera nzuri za Serikali yake kuhusu huduma za afya nchini hasa juhudi zinazofanyika kudhibiti malaria, ukimwi na saratani wakati walipokutana Ikulu jijini  Dar es Salaam leo. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment