Rais Jakaya Kikwete, akipongezwa na Rais Mstaafu wa Marekani, George W. Bush, leo kwa sera nzuri za Serikali yake kuhusu huduma za afya nchini hasa juhudi zinazofanyika kudhibiti malaria, ukimwi na saratani wakati walipokutana Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ikulu
MOROCCO YAKWAMA KWA MALI, ZATOKA SARE 1-1
-
WENYEJI, Morocco wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mali katika
mchezo wa Kundi A Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 usiku
huu U...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment