Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Wakuu wa Mikoa wote waliofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam jana, ambapo wazungumzia mikakati mbalimbali ya maendeleo na uboreshaji wa huduma za jamii. Picha na Ikulu
SEKRETARIETI YA MAADILI MNAYO MAMLAKA YA KUFUATILIA UKIUKWAJI WA MAADILI YA
VIONGOZI NCHINI, FANYENI HIVYO BILA KUONEA MTU”- Mhe. Ridhiwani Kikwete
-
Na Mwandishi wetu-Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete ameitaka Sekretarieti ya...
55 minutes ago

No comments:
Post a Comment