Habari za Punde

*VIJANA WA IRINGA WAFAIDIKA NA MVUA INAYOENDELEA KUNYESHA

 Watoto wakivua samaki katika mfereji wa maji machafu utokao katika bwawa eneo la Kihesa baada ya mvua kbwa kunyesha. Watoto hao walikuwa wakiuza kila samaki mmoha kwa Sh. 50/=. Picha na Francis Godwin, Iringa
Watoto hao wakinadi samaki wao baada ya kuwavua kwa kutumia Neti mbovu katika Bwawa hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.