Baadhi ya waombelezaji na mabondia wakibeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Mohamed Kidevu, aliyewahi kuwa Bondia mwenzao, ambaye alifariki juzi usiku kwa ajali ya gari maeneo ya Chanika. Hapa ni wakati wakielekea kuzika leo mchana katika makaburi ya Chanika. Picha na Rajab Mhamila
Waombolezaji wakielekea mazikoni Chanika leo.
No comments:
Post a Comment