Tunatambua kuwa Wanavyuo wenzetu walimu walikuwa hawana kazi kwa muda mrefu Jambo ambalo liliwafanya wengi kuwa na wasi wasi na mwajiri wao. Tunapenda kuwapa tarifa kupitia mtandao wenu wa Matukio na wanavyuo (www.tzwanavyuo.blogspot.com) kuwa, Walimu wahitimu wote Jana usiku majira ya sa saba Nafasi hizo zilitangazwa Rasmi, Pia sisi Tunapenda kuwasilisha majina ya wanafunzi ambao wamechaguliwa Tunaomba mchukue Muda wenu kutazama kwa umakini majina yenu yote yapo hapa. Hongereni sana.
Wahitimu wa St. Mary’s Watakiwa Kujiamini na Kuthubutu Kufikia Mafanikio”
-
Na Mwandishi Wetu
MTHIBITI Ubora wa Elimu wa Wilaya ya Kinondoni, Paschalina Herman Msofeo
amewataka wahitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment