TAARIFA zilizotufikia katika mandao huu wa sufianimafoto, muda huu zinasema kuw Mbunge wa Jimbo la Arumeru kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Jeremia Sumari, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hopitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa kwa ugonjwa wa Kansa ya kichwa. Bwana alitoa na Bwana ametwaa Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, amina
SERIKALI YATOA WITO KWA DIASPORA KUWEKEZA NYUMBANI
-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. David
Cosato Chumi (Mb) kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afri...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment