Wachezaji wa timu ya Azam Fc, wakishangilia katika moja ya mchezo wa  Ligi Kuu, hivi karibuni. 
Azam imeshinda katika mchezo wa leo wa Kombe la  Mapinduzi, baada ya kuichapa Jamhuri Ya Visiwani Zanzibar, kwa mabao  3-1, huku John Boko akikosa mkwaju wa penati katika dakika 13 ya kipindi  cha kwanza na kufanya mchezo huo kumalizika kwa azam kuibuka na  ushindi.

No comments:
Post a Comment