Habari za Punde

*HAPPY B-DAY MADAU RACHEL SINBARD KUSHEREHEKEA SIKU YAKO YA KUZALIWA

 Rachel Sinbard akitoa Shukrani kwa wageni wateule waliohudhuria hafla fupi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, na kujiandaa kuwalisha keki wageni wake wakati wa hafla fupi iliyofanyika chumbani kwake ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma jana.
  Mmoja wa marafiki wa Rachel, ambaye pia ni roommate wake, Caritas Majani,  kilishwa keki katika hafla fupi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake hapo jana iliyofanyika katika chumba chake na kuhudhuriwa na wageni wateule.
  Rachel akimlisha keki Joseph Lukaza.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo wakiwa geto kwa Rachel.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.