Mbwa huyu alitaka kuzua kizaa zaa baada ya kutaka kuruka kutoka dirishani wakati gari likiwa kwenye mwendo Barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Mbuyuni Dar es Salaam jana.Gari la kushoto liliyumba na kuhama njia ghafla na gari lenye mbwa huyo kukimbilia kulia zaidi.
MUUNGANO CARAVAN KUZINDULIWA DAR ES SALAAM KUKUZA UZALENDO NA ELIMU YA
MUUNGANO
-
Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wanatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa
kampeni maalum ya kitaifa ijulikanayo kama Muungano Caravan, yenye lengo la
kue...
9 hours ago

No comments:
Post a Comment