Habari za Punde

WAFANYABIASHARA WA VITANDA WA MAGOMENI KOTA WALALAMA KUTELEKEZWA NA HALMASHAURI

 Wafanyabiashara wa Vitanda walioondolewa katika eneo la Kota za Magomeni ili kupisha ubomoaji wa kota hizo na kuanza kwa mradi uliokusudiwa, Bakari Abdallah (kushoto) na Omary Ally, wakipanga biashara yao hiyo pembezoni mwa Barabara Magomeni Barafu ili kusubiri wateja kama walivyokutwa na piga picha wetu jana. Wafanya Biashara hao wameilalamikia Halmashauri kwa kuwatelekeza mahala hapo bila kuwapatia eneo la kufanyia biashara kama ambavyo waliahidiwa.
Eneo lililokuwa na nyumba za Kota Magomeni, linavyoonekana baada ya nyumba hizo kubomolewa ili kupisha shughuli za mradi.
Eneo lililokuwa na nyumba za Kota Magomeni, linavyoonekana baada ya nyumba hizo kubomolewa ili kupisha shughuli za mradi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.