Mbwa huyu alitaka kuzua kizaa zaa baada ya kutaka kuruka kutoka dirishani wakati gari likiwa kwenye mwendo Barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Mbuyuni Dar es Salaam jana.Gari la kushoto liliyumba na kuhama njia ghafla na gari lenye mbwa huyo kukimbilia kulia zaidi.
Michezo : Mwakinyo Amchapa Mnigeria kwa KO
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
BONDIA wa Kimataifa Mtanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kuibuka mshindi
wa pambano lake dhidi ya mpinzani wake Mniger...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment