Mbwa huyu alitaka kuzua kizaa zaa baada ya kutaka kuruka kutoka dirishani wakati gari likiwa kwenye mwendo Barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Mbuyuni Dar es Salaam jana.Gari la kushoto liliyumba na kuhama njia ghafla na gari lenye mbwa huyo kukimbilia kulia zaidi.

No comments:
Post a Comment