Habari za Punde

*MADAKTARI WA MUHIMILI WAANZA MGOMO LEO KUSHINIKIZA KULIPWA POSHO ZAO

 Dkt. Frank Kagolo, ambaye ni miongoni mwa madaktari wanaofanya kazi kwa mkataba wa mwaka mmoja katika Hospitali ya Muhimili, akizungumza na waandishi wa habari wakati akihojiwa kuhusu mgomo wao waliouanzisha leo kutokana na kucheleweshewa kulipwa posho zao za mwezi mmoja.
Baadhi ya Madaktari na Mafamasia wanaofanya Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa mwaka mmoja hospitari ya Taifa Muhimbili wakiwa katika mkutano na viongozi wa Wizara ya Afya na hospitali hiyo Dar es salaam leo baada ya kugoma kwa kutolipwa posho zao kwa muda wa mwezi mmoja.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.