Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AANZA ZIARA YAKE MKOA WA LINDI, AWEKA JIWE LA MSINGI NA KUZINDUA MAJENGO YA SHULE YA WASICHANA NACHINGWEA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi majengo ya mabweni ya shule ya Sekondari ya wasichana ya Nachingwea, wakati wa ziara yake ya Mkoa wa Lindi, iliyoanza leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa ikiwa ni ishara ya kuweka jiwe la Msingi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Nachingwea, wakati wa ziara yake Mkoa wa Lindi iliyoanza leo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.