Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA ABORT FUND IKULU DSM LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Abort Fund, Andy Wilson (katikati) na Dkt. Ayub Magimba, wakati walipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Januari 18, 2012, kwa ajili ya mazungumzo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.