Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Abort Fund, Andy Wilson (katikati) na Dkt. Ayub Magimba, wakati walipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Januari 18, 2012, kwa ajili ya mazungumzo.
WANANCHI WAONYA WENYE NYUMBA 'KUUZA' AMANI YA NCHI KWA TAMAA YA FEDHA
-
Katika kile kinachoonekana kama operesheni ya kuimarisha ulinzi wa Taifa
kuanzia ngazi ya kaya, viongozi wa Serikali za Mitaa na wadau wa usalama
nchin...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment