Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata Utepe kuzindua rasmi Jengo jipya la Makao Makuu ya Polisi lililopo eneo la Dunga, Wilaya ya Chake, Mkoa wa Kusini Pemba, jana Januari 5, 2012.
Baadhi ya askari Polisi waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo jana.
Baadhi ya wanafunzi wa shele za Msingi waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi. Wanadada wakisoma utenzi wakati wa hafla hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kamishna Mkuu wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, wakati akimuelekeza baadhi ya maeneo muhimu yaliyo ndani ya Jengo jipya la Makao Makuu ya Polisi, wakati wa uzinduzi wa jengo hilo uliofanyika jana Januari 5, 2012, eneo la Dunga, Wilaya ya Chake, Mkoa wa Kusini Pemba, jana.
Ikisomwa Quraan maalum ya ufunguzi wa hafla hiyo ikiwa ni sehemu ya Dua.
Kikundi cha Sanaa kikitoa burudani ya ngoma ya Kibati.
Wakuu wakipagawishwa na ngoma hiyo na kuamua kusimama na kuwatunza wasanii hao.
Baadhi ya wakuu waliohudhuria hafla hiyo, akiwamo Kamanda Jengo (kulia)
Baadhi ya wadau waliohudhuria hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment