Pages

Karibuni Katika ukurasa wa Sufiani Mafoto, jipatie Habari Motomoto na Matukio Mbali Mbali yanayojiri kila siku.Pia Tunakaribisha Matangazo Ya Aina mbalimbali kwa gharama Nafuu Kabisa.Kwa mawasiliano +255 655 306 109.Nyote Mnakaribishwa.

Wednesday, January 25, 2012

*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ZIARANI WILAYA YA MUHEZA – TANGA JANA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili eneo la CCM Wilayani Muheza na kupokelewa na Vijana shupavu wa CCM.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Ghari Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya ya Muheza, alipowasili eneo hilo kwa ajili ya kupokea taarifa ya utendaji kabla ya kuanza kukagua baadhi ya miradi ya maendeleo akiwa katika ziara yake Wilayani Muheza Mkoa wa Tanga
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Muheza waliokuwa wamekusanyika nje ya ofisi ya CCM wakimtaka kuzungumza nao baada ya kupokea taarifa ya utendaji kutoka kwa viongozi wa CCM wa Wilaya hiyo, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga.

0 idadi ya maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA BLOG