Beki wa timu ya Manchester Cit, Vincent Kompany (chini) akimchezea vibaya Kiungo wa Manchester United, Nani, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu yaengland unaoendelea katika uwanja wa Etihad, Manchester. Kompany amezawadiwa kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya Nani, hadi sasa mpira ni mapumziko na Man U inaongoza ikiwambele kwabao 3-0.

No comments:
Post a Comment