Menu

Thursday, January 12, 2012

*MATUMLA AJIFUA KURUDIANA NA OSWALD FEBRUARI 25 PTA

Bondia Rashid Matumla, akiwa katika mazoezi kujiandaa na pambano lake lisilo la ubingwa dhidi ya Maneno Oswald, ‘Mtambo wa Gongo’, linalotarajia kufanyika Februari 25 mwaka huu katika Ukumbi wa PTA Sabasaba, baada ya pambano lao lililopita kutoka sare kwa Pointi 99-99.

No comments:

Post a Comment