Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari baada ya hafla fupi ya kuweka saini mikataba mitatu ya uatafiti wa mafuta kutoka kampuni za nje iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. (Kulia) ni Kamishna Msaidizi wa Nishati (Petroleum na Gas ) Prosper Victus. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
TUJALI MASLAHI YA MIRERANI - SALOME MNYAWI
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
DIWANI wa Kata ya Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Salome Nelson
Mnyawi, amewataka wadau wa maendeleo na wakazi...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment