Menu

Wednesday, January 25, 2012

*NGELEJA ASAINI MIKATABA MITATU YA UTAFITI WA MAFUTA NCHINI

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akifafanua  jambo wakati  wa mkutano na waandishi wa habari baada ya hafla fupi ya kuweka saini mikataba mitatu ya uatafiti wa mafuta kutoka kampuni za nje iliyofanyika  jijini Dar es Salaam jana. (Kulia) ni Kamishna Msaidizi wa Nishati (Petroleum na Gas )  Prosper Victus. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO

No comments:

Post a Comment