Gari kubwa Roli aina ya Sania, likiwa limeangua pembezoni mwa barabara ya Morogoro eneo la Kiluvya jana, haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo na haikuweza kufahamika hasara na majeruhi waliotokana na ajali hiyo, kama ilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto.
Dkt. Abbasi: Royal Tour Imelipa, Tunakuja na Mikakati Mingine Kabambe
-
Na Mwandishi Wetu, Arusha
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, leo Aprili
30, 2026, “amewapiga msasa” waongoza watalii zaidi y...
13 hours ago

No comments:
Post a Comment