Timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam jioni hii imeonja joto ya jiwe kwa kupigwa stop katika msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa kufungwa bao 1-0 na timu inayosuasua katika msimamo hu wa Ligi, Villa Squard. Bao pekee katika mchezo huo limefungwa katika dakika ya 40 ya mchezo na Nsa Job, huku timu hiyo ikicheza na wachezaji pungufu baada ya wachezaji wake wawili kulimwa kadi nyekundu.
NMB Bags Five National AOSH Awards for Second Year Running
-
NMB Bank Plc has once again affirmed its leadership in workplace safety,
employee wellbeing and organisational excellence after winning five
accolades ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment