Gari kubwa Roli, likiwa limekwama na kushusha mzigo wote ili kujinasua katika njia mbovu itokayo barabara ya Nkasi likielekea Kijijicha Korongwe kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo hayo yenye msitu mkubwa.
Gari la Polisi likipita kwa tabu eneo hilo finyu lililoharibika vibaya kwa mvua na hekaheka za kulinasua Roli hili.
Barabara ya Mpanda Sumbawanga inayojengwa na wachina ikiwa katika hatua za ujenzi.
No comments:
Post a Comment