Habari za Punde

*TANZANIA YASAINI MOU YA KUPELEKA WASHITAKIWA WA UHARAMIA WA KISOMALI KATIKA JELA HUSIKA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri masuala ya Jumuiya ya Madola, Umoja wa Mataifa  na Afrika na Mazingira ( Parliamentary Under Secretary responsible for Africa, United Nations, economic issues, conflict resolution, and climate change)   wa Uingereza,  Hendry Bellingham, wakishuhudia Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe (kulia mbele) akitiliana saini  na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza kuhusu makubaliano kati ya nchi hizo mbili juu ya taratibu za  kukabidhiana watuhumiwa wa uharamia na mali zilizokamatwa katika matukio ya uharamia katika Bahari kuu wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo, Lancaster House, London.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri masuala ya Jumuiya ya Madola, Umoja wa Mataifa na Afrika na Mazingira ( Parliamentary Under Secretary responsible for Africa, United Nations, economic issues, conflict resolution, and climate change) wa Uingereza, Hendry Bellingham, wakishuhudia Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe (kulia) akibadilishana mkataba na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza baada ya kutiliana saini mkataba huo kuhusu makubaliano kati ya nchi hizo mbili juu ya taratibu za kukabidhiana watuhumiwa wa uharamia na mali zilizokamatwa katika matukio ya uharamia katika Bahari kuu wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo, Lancaster House, London. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.