Makamu mwenyekiti wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa nchini, Madaraka Nyerere (Kushoto) akiwaelekeza jambo mabondia, Fransc Cheka (kulia) na Mada Maugo jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupigania ubingwa wa IBF raundi 12, pambano linalotarajia kufanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprili 28, mwaka huu. picha na Super D
No comments:
Post a Comment