Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, wakiwa katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo ambapo tayari leo hii wameanza Mkutano wa Sita Kikao cha kwanza cha Bunge mjini Dodoma kinachojadmambo mbalimbali. Picha na Amani Tanzania
WADAU WAASWA KUUNGANISHA NGUVU UTEKELEZAJI AGENDA YA WANAWAKE, AMANI NA
USALAMA
-
Na WMJJWM- Dar Es Salaam
Wadau mbalimbali wameaswa kuunganisha nguvu na kushirikiana katika
kuhakikisha utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Kutekeleza...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment