Akitoa taarifa hiyo Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga, alisema kuwa kesho Tarehe 15 Februari 2012, Kamati hiyo inatarajia kufanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Savannah Hoteli uliopo katika Jengo la Benjamin Mkapa Posta mpya jijini Dar es Salaam mida ya saa 5.00 asubuhi.
Aidha Lundenga alisema kuwa nia kubwa ya kuwa na mkutano huo wa kesho ni maalum kwa ajili ya kumtangaza mdhamini wao Mkuu mpya aliyejitosa kuungana na wadhamini wengine wa shindano hilo kubwa la Vodacom Miss Tanzania.
No comments:
Post a Comment