Mchambuzi wa Miradi ya Redio (RLDC) Teri Gilead (kulia) akizungumza na waandishi wa habari na kufafanua njia ya kumsaidia mwanamke katika kujipatia kipato kinachotokana na kilimo na mifugo, wakati wa mkutano huo uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Redio faivu Robert Francis.
Kitaifa : Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akutana na waziri Mkuu Mstaafu
Kassim Majaliwa
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim
Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi.
Mheshimiwa Dkt. Mwigu...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment