Baadhi ya watoto wa kike wakiwa na ndoo zilizojaa samaki wakitoka kununua katika Soko la Samaki la Kisanga lililopo Kijiji cha Lusambo, katika Ziwa Tanganyika ambapo ni mpakani kabisa na nchi za Kongo na Malawi.
Mabinti hawa wanaoonekana kuwa na umri mdogo unaostahili kuwa shuleni wao tayari wamekwishakuwa na uzoefu wa kusaka noti na kupuuza masomo, kati ya hawa kuna atakayekuelewa kweli ukimgusia elimu?
Kinamama hawa pia walinaswa na kamera ya Sufianimafoto, wakichanja mbuga umbali mrefu kuanzia mahala walipopichwa piga hadi katika kijiji chenye makazi ya watu. Hii ndiyo hali halisi ya masiha ya wananchi wa vijijini.
No comments:
Post a Comment