Wachina waliokamatwa katika eneo la Bahari ya Hindi eneo la Tanzania wakifanya uvuvi haramu kinyume na utaratibu, Nahodha Hsui Chin Tai (kushoto) na Zhao Hinguin, wakiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam (kitengo cha Biashara) leo wakisubiri kupelekwa jela baada ya kuhukumiwa kwenda Jela miaka 20 ama kulipa faini ya Sh. Bilioni 20. Picha na Mpiga Picha Wetu
DIAMOND: UWEKEZAJI WA HABARI UNAHITAJI SHERIA, NIDHAMU NA WELEDI
-
*Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam*
*Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, Nasib Abdul maarufu Diamond Platnumz,
amesema utekelezaji wa Sheria ya Huduma za ...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment