Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKABIDHIWA UCHIFU WA KABILA LA KIKONONGO-INYONGA

 Makamu Wa Rais wa Jamhuti ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakiwa na mavazi ya asili ya kabila la Kikonongo baada ya kuvishwa na kutunukiwa uchifu wa Kabila la Kikonongo na machifu wa Kijiji cha Inyonga Wilaya ya Mpanda wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Rukwa na Katavi jana.
 Ngoma ya asili ya kabila la wasukuma.
 Sufianimafoto ndani ya Kijiji cha Inyonga, Katavi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.