Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mama Asha Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro na baadhi ya viongozi wa mkoa huo, wakitoka kukagua ujenzi wa mradi wa Bwawa la umwagiliaji lililopo kijiji cha Rwayo, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Mbeya jana.
JAB YATOA HESHIMA KWA WAANDISHI WA HABARI WAKONGWE
-
Na Mwandishi Wetu.
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imezindua rasmi Mwongozo wa
Kisheria wa Utoaji wa Ithibati ya Maisha kwa Waandishi wa ...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment