Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Ingunn Klepsivik, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo kwa mazungumzo.
MOROCCO NJE, GAMONDI NDANI
-
Na Rahel Pallangyo
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesitisha mkataba na Kocha Mkuu wa
Taifa Stars, Hemed Ali Suleiman 'Morocco'.
Taarifa ya TFF ime...
8 hours ago

No comments:
Post a Comment