Baadhi ya waandishi wa habari wa jijini Mbeya wakishindana kutambua ladha ya bia za kampuni ya Bia Tanzania (TBL).
Baadhi ya waandishi wa habari wa jijini Mbeya wakitembelea kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kilichopo, Iyunga jijini humo mwishoni mwa wiki.
Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Edith Mushi, akimkabidhi katoni ya bia aina ya Castle Lager, mwandishi wa habari wa gazeti la Dira ya Mtanzania, Steve Jonas ambaye alikuwa ni mshindi wa pili kati ya washindi watatu waliofanikiwa kubaini ladha halisi ya bia zinazotengenezwa na kampuni hiyo Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment