Habari za Punde

*WAFANYAKAZI WA VODACOM 'WALIVYOPAGAWA' KATIKA HAFLA YA 'FIND YOUR MOYO'

 Raslimali watu wa Kimataifa wa Vodacom, Hein Bisschoff (kulia) akicheza muziki na Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Bi.Najenjwa Mbagga kwa ajili ya kuhamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kuhusiana na kampeni ya ‘Find your Moyo’.
Kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.

 . Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza akiongea na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuhusiana na kampeni ya ‘Find your Moyo’. Leo ni siku ya kipekee kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza Mkurugenzi wao alipokuwa anaongea kuhusiana na kampeni ya ‘Find your Moyo’. Leo ni siku ya maalum na ya kipekee kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza akicheza muziki na mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo, Judith Kirimba.
 Mkurugenzi wa Fedha wa Vodacom Tanzania Bw.Christopher Fawcett akicheza muziki na Mkuu wa kitengo cha matangazo wa kampuni hiyo Joseline Kamuhanda  katika kampeni ya ‘Find your Moyo’.
 Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakipozi kwa picha wakati wa kampeni  ya ‘Find your Moyo'.
 Ofisa Mkuu wa masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,akikusanya fedha zilizokuwa zikichangishwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa kampeni ya kipekee ya ‘Find your Moyo'.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakitayarisha vyakula mbalimbali waweze kuuza kwa wafanyakazi wenzao katika kampeni ya ‘Find your Moyo’.Kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakitayarisha vyakula mbalimbali waweze kuuza kwa wafanyakazi wenzao katika kampeni ya ‘Find your Moyo’.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakibadilishana mawazo wakati wa kampeni ya ‘Find your Moyo’.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.