Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Binadam, Hellen Kijo, akiongoza maandamano ya Wanaharakati walioandamana leo majira ya saa 10 jioni na kufunga Barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Daraja la Sulander jijini Dar es Salaam, huku waandamanaji hao wakiwa na mabango yaliyobeba ujumbe mblimbali kuhusiana na mgomo wa Madaktari huku mengi yakionyesha hisia zao za kumtaka Rais kuwafukuza kazi Waziri wa Afya, Naibu wake, Katibu Mkuu wao na Mganga Mkuu.
Baadhiya magari yaliykuwa yamekwama na kusongamana katika Brabara ya Ali Hassan Mwinyi kutokana na maandamano hayo leo jioni.
No comments:
Post a Comment